Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Hivi, huo ujinga wa kuandika kila pahali hata ndani ya mbuga ya Nyumbu, Simba, Swala na Digidigi aliutoa wapi Nchemba?!
Nchi yangu!
Picha hapo juu ni Duma wakisikiliza Mkutano wa kampeni za mgombea u Rais bwana Dr. Mwigulu Nchemba.