Li ngunda ngali JF-Expert Member Joined Jun 22, 2023 Posts 707 Reaction score 2,572 Jan 15, 2025 #1 Hivi, huo ujinga wa kuandika kila pahali hata ndani ya mbuga ya Nyumbu, Simba, Swala na Digidigi aliutoa wapi Nchemba?! Nchi yangu! Picha hapo juu ni Duma wakisikiliza Mkutano wa kampeni za mgombea u Rais bwana Dr. Mwigulu Nchemba.
Hivi, huo ujinga wa kuandika kila pahali hata ndani ya mbuga ya Nyumbu, Simba, Swala na Digidigi aliutoa wapi Nchemba?! Nchi yangu! Picha hapo juu ni Duma wakisikiliza Mkutano wa kampeni za mgombea u Rais bwana Dr. Mwigulu Nchemba.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 17, 2025 #2 Duh aiseee
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 7,841 Reaction score 17,491 Jan 17, 2025 #3 Alitukosea sana huyu jamaa, hivi kwanini hakuambiwa afute mawe yote hayo.
Li ngunda ngali JF-Expert Member Joined Jun 22, 2023 Posts 707 Reaction score 2,572 Jan 18, 2025 Thread starter #4 Numbisa said: Duh aiseee Click to expand... Acha tu ndugu yangu.
Li ngunda ngali JF-Expert Member Joined Jun 22, 2023 Posts 707 Reaction score 2,572 Jan 18, 2025 Thread starter #5 Mla Bata said: Alitukosea sana huyu jamaa, hivi kwanini hakuambiwa afute mawe yote hayo. Click to expand... Gharama.
Mla Bata said: Alitukosea sana huyu jamaa, hivi kwanini hakuambiwa afute mawe yote hayo. Click to expand... Gharama.