Picha: Elizabeth Michael “Lulu” akila bata Zanzibar

Picha: Elizabeth Michael “Lulu” akila bata Zanzibar

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mcheza filamu asiyechuja bongo , na mwenye mvuto wa aina yake , Elizabeth michael , ameonekana akiwa kwenye kisiwa cha Zanzibar akila bata na marafiki zake na kufurahia maisha ..

Mrembo huyo ambaye ni mchumba halali wa Majizzo, hivi karibuni baada ya kutoka jela, ameonekana akibadili mienendo ya maisha yake ikiwemo marafiki wanaomzunguka, na kurudisha heshima yake kwenye jamii.

Ila ka lulu sasa hivi kametulia hadi raha , nikikumbuka lulu wa miaka ile alikua mcharuko hatari , kila club humkosi, alikuwa anadanga hatari mastaa wote wake.

Naona jela imembadilisha sana na kumfundisha maisha , now she is a grown up lady , well mannered and matured, well done lulu, nakutakia maisha mema

IMG_3797.jpg

IMG_3796.jpg

IMG_3795.jpg
 
Back
Top Bottom