Acheni kutoka povu subirini Kibonde aje ku prove kamani yeye kwenye hiyo picha.
Yani huyu kibwengo nisivyompenda nafikiria kwenda hapo Oysterbay polisi nikamuongezee kesi kwamba aligonga mtu akakimbi na mgonjwa yuko Moi muhimbili, kwa msumali huu hawampi dhamana hata kwa dawa.
Incomplete information
Kifungu cha Mizengo ibara ya Kayanza Kifungu kidogo cha Peter Pinda kilichopitishwa na BUNGE la CCM Jingine
JF fanyeni research kabla hujapost,Kibonde walikuwa wanatengeneza tangazo la utii was sheria bila shuruti! On a sasa watu mmeanza kumhukumu
Huyu si Jot kweli?
Acheni kutoka povu subirini Kibonde aje ku prove kamani yeye kwenye hiyo picha.
Hahaha .... umemuweza ....maana huyu ni mkongwe sana humu lakini analeta akili za kifacebook