Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Acheni kutoka povu subirini Kibonde aje ku prove kamani yeye kwenye hiyo picha.

ataprove saa ngapi wakati alishasema mwenyewe jahazini kuwa alishajitoa Jf siku nyingi kutokana na watu kumzodoa
 
Yani huyu kibwengo nisivyompenda nafikiria kwenda hapo Oysterbay polisi nikamuongezee kesi kwamba aligonga mtu akakimbi na mgonjwa yuko Moi muhimbili, kwa msumali huu hawampi dhamana hata kwa dawa.

Mkuu kweli umemkamia unatamami saga lingekua upande wako. Hondoa hofu tutadili neye "perpendicular" akitoka hapo akatangaze muruha.
 
Kwa picha hiyo Cloud TV hawakawii kusema walikuwa wanatengeneza tangazo la "utii wa sheria bila shuruti"
 
Kifungu cha Mizengo ibara ya Kayanza Kifungu kidogo cha Peter Pinda kilichopitishwa na BUNGE la CCM Jingine

Tehhehehe ever think such ubunifu wa kuunganisha maneno.
 
Possible,hilo ni tangazo lazima watu wanaojua kuvaa uhalisia ndio wanapewa mikataba kwenye matangazo kama haya maana wangependa jamii waelimike
 
Kwa sheria za usalama barabarani zilivyo na umaarufu wa huyo jamaa, the guy will probably walk free kwa compasation ndogo tu...
 
Jaama namsubiri atakapofika kwenye studio atakavyotoa povu mithili y mmasai aliepandisha mori. Huyo traffic CCP MOSHI anaitendea haki
 
wazee wapo kwenye kampeni yao ya ukimya haufai toa taarifa wamepewa pesa nyingi
 
Hahaha .... umemuweza ....maana huyu ni mkongwe sana humu lakini analeta akili za kifacebook

Mkuu ukongwe saa nyingine si tija unaweza kuta ndo'wale wale wa kina kundi la chimpanzee wetu wa ze green.
 
Kuna watu ata wakifa sisikitiki..Akiwemo uyu punguwane Kibonde,simpendi simpendi simpendi. .
 
Yale maneno kuwa hii ni Radio ya WAFU naanza kuyaona. Ngumi studio hadi barabarani?
 
Back
Top Bottom