Nafanya research hapa ....
RESEACH TOPIC: Kupima kukubalika kwa Ephrahim kibonde ktk jamii
SAMPLE SIZE : 295 JF Members waliochangia huu uzi,
STUDY TYPE ; Qualitative study,
RESULTS; 98% Wanampinga huyu mtangazaji na hawakubaliani Na tabia zake mbaya..
CONCLUSION,,
Ni hasara kwa radio station kukumbatia kuwa na mtangazaji wa namna ya kibonde , maana watanzania husikiliza mtangazAji wanayemkubali !! Ni hasara hata kumtumia ktk matangazo ya biashara au kuelimisha jamii! Ni sababu mojawapo ya kuporomoka kwa umaarufu wa radio husika.