Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

huyu jamaa alinifanya niichukia clouds fm mpaka leo hii huwa cpendi kusikiliza hii radio....maana watangazaji wake vichwa maji kweli


Kuna mtu humu JF alisema inatumia green fuel siku hizi
 
Yale yale ya kipindi cha xxl kuchapana makonde...!!
Hii story wametengeneza tena hakuna kitu kama hii...!!!!
 
sheria bin sheria
attachment.php
Mkuu linamsonta huyo aliyelipiga picha!! Ila JF ni kiboko mpaka picha zote mbili zimepatikana! Moja alikuwa amedhibitiwa na trafiki hii ya pili yuko cell! Nya.mba.aff!! Abaki njia kuu na huko tuone sasa!!
 
Jela inamtosha sana huyo mbuluraz.

Ila hili jamaa silipendi seriously! Linajipendekeza sana kwa watawala. Liko radhi hata kujitoa ufahamu ili liwafurahishe. Na kwakuwa anacho chombo kinachomuwezesha kusikika basi anajiona mjaaaanja!
 
Vunja ukimya sambaza upendo...
Kipindi cha Xxl sijasikia kama kimepewa ban hadi leo hii!!
Movie nyingine ya cloud's hii
 
Kuwa mc kwenye shughuli za chama kuna mpa kiburi sana huyu jamaa
 
Wamsamehe tu. Wadudu watakuwa wamepanda kwenye coconut.....
 
Ahahahahahha!!! Riko limamde sasa,

salamaleko kaka polisi!
Salamaleko pinda!
 
uyu mzee anaweza akawa usalama wa taifa kukimbia police hivyo baadae tu mtaambiwa yupo nje kwa dhamana
 
Ukipitia blog za watangazaji wa Clouds hasa maarufu kwa kuripoti matukio kwa wakati kama Millard Ayo hii habari haijaripotiwa kabisa!!!!! Hii inazidi kuonesha kuwa kweli Kibonde katia aibu ndio maana hata wenzake wameamua kumsitiri......wale waliofikiri hii imetungwa ningeamini kama hadi hizo blog zingekuwa na hii habari.
 
humo tigo full strength,nahis kuna minara imesimamishwa ili kutoa huduma
 
Back
Top Bottom