Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MMmh,hata ile ya kupigana studio mlituzuga eti was a joke,wadanganyeni waliolala,wenzio tulishaamka:thumbdown:
Jicho limemtoka ile mbaya...wamemnyesha nini huyu kibonde?
0713 itapona kweli.....
Mwenye Matokeo yake ya olev aweke hapa coz jamaa ana kichwa maji ile mbaya
Kweli u superstar ni karaha tena tabu
Dahhh...Si unaiona hiyo njemba nyeusi hapo nyuma yake inavyomuangalia kwa gadhabu..!!