Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Trafiki kapaza sauti kasambaza upendo ......
 
Heeeee makubwa haya yeye si ndo mwepesi kusema wanaokosea? Lol kweli wahenga hawakukosea waliposema usitukane mamba kabla ya kuvuka mto ona sasa!ndo ajifunze leo!haileti picha nzuri kwa mtu kama yeye kufanya mambo ya wanywa viroba!hana maadili na kazi ile haimfai tena!
 
MMmh,hata ile ya kupigana studio mlituzuga eti was a joke,wadanganyeni waliolala,wenzio tulishaamka:thumbdown:


Tangazo tangu asubuhi mpaka saa hizi, wakubali wasikubali msondo ukivuma kipita kiasi ........
 
Asalaaaamaleikum ephraim kibonde
 
Last edited by a moderator:
huenda kafanya makusudi apelekwe selo akaonje na matango ya selo
 
Namwona Kibode kamnyooshea Kidole camera man kwa hasira.sipati picha lugha aliyokuwa anaiporomosha wakt wanajibizana na mpiga picha.
 
Mnaomchukia ndio mnaopenda kucomment na bila shaka wrote Hi ukawa ndio maana mnamkandamiza,wapo watanzania wanaompenda na hawapendi kucomment kwahiyo huwezi Dema eti unafanya research! Ukweli jamaa anakubalika hata nyie ambao hampendagi kuona ajizungumzia machache mazuri yanayotendwa na CCM.Nashangaa bifu mnaleta hapa. Unafiki mwingi
 
Kachepuliwa leo 1407592438967.jpg
 
Juzimh Aden Rage kapata ajali,kaumia.badala ya kupata msaada mjitu ikamwibia simu. Tena kwa kusearch.

Ndio nchi tunayotaka? Hamna, noma!!


The King.
 
Back
Top Bottom