Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Ni tangazo bhana, kwani ili liwe tangazo lilipaswa liweje?
 
Shame on u Kibonde sikutegemea unaweza kufanya vitu kama ulivyofanya leo pale ubungo asbh uuuuh ivi nn maana ya public figure ya Tz hii mnatuonyesha nn duh Polen clouds maana jamaa kachemsha.


attachment.php


UPDATES:






Vuta ile picha yake ya BAKI NJIA KUU... na akiwaga anatangaza shirika la nyumba NHC.
 

Attachments

  • 10588932_683462811730041_1390037634_n.jpg
    10588932_683462811730041_1390037634_n.jpg
    46.3 KB · Views: 457
Mpango wake wa kupewa ukuu wa wilaya umeota mbawa,na hivi leo jumamosi mpaka jumatatu Mungu akijalia.
 
Sasa hivi jamaa huko selo na ubaridi huu watakuwa wamesimamisha kisawasawa mipango yao, kibonde ili asiumie, itabidi apanue sana mawazo yake ili kukabiliana nao manina zake.
 
sasa...... ninawaza wakimlaza huko selo si watamuharibia dozi yake????!!!!!! au kuna utaratibu wa huduma ya kwanza mahabusu??. So inhumane... kwi kwi kwi 😛eep:
 
Pole yake Mzee wa michepuko!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu mimi mpaka nione hilo gari la mzungu lililo gongwa ila hizi picha wala si za kuamini.Mtakuja kuniambia baada ya siku chache pale Ruge atakapo tangaza kuwa wapo kwenye kampeni

Kuna kipindi Kibonde alikuwa balozi wa hizo kampeni za usalama barabarani

Very soon utaamini tu kama mpaka sasa hujaamini.

Muhalifu huyu alikimbia eneo la tukio akaenda kukamatwa eneo lingine na tumemtupa lock up.
Endelea kukataa.
 
Back
Top Bottom