Shame on u Kibonde sikutegemea unaweza kufanya vitu kama ulivyofanya leo pale ubungo asbh uuuuh ivi nn maana ya public figure ya Tz hii mnatuonyesha nn duh Polen clouds maana jamaa kachemsha.
UPDATES:
kama hili litakua ni tangazo, linastahili OSCAR ..
Lazima aliwe 0712
Haya jamani mi nawaachia nyie muamue kama hii ni shooting ya tangazo la utii wa sheria bila shurti au ndo wanataka kutupotezea issue
na pozi ndo lilelile aisee
Tumia hata akili za kuku jirani yako hapo kidogo.. kumteka askari ni traffic offence..?
Mkuu mimi mpaka nione hilo gari la mzungu lililo gongwa ila hizi picha wala si za kuamini.Mtakuja kuniambia baada ya siku chache pale Ruge atakapo tangaza kuwa wapo kwenye kampeni
Kuna kipindi Kibonde alikuwa balozi wa hizo kampeni za usalama barabarani