Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Hata matonya omba omba alikuwa maarufu.
Maarufu watu wanakuponda namna hii ni hatari
Unaweza kuwa maarufu kwa kutenda mazuri au mabaya! Sema tu yule wa mabaya naye anaombewa mabaya
 
Kaa njia kuu, acha kuchepuka! Jamaa anapenda kunyoosha kidole...
 

Attachments

  • 1407641536178.jpg
    42.7 KB · Views: 415
  • 1407641566284.jpg
    61.8 KB · Views: 404
Kesho akipanda mahakamani Ndio mtaamini kuwa haikuwa tangazo
 
Huwezi kumshauri mtu kama kibonde anayejifanya anajua kila kitu
 
Habari Zenu wana jamvi..

Kibonde wa Clouds anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, amemgonga dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walipofika kupima ajali, Kibonde karudi nyuma kaendesha gari lake kasepa! Trafiki katumia gari lililogongwa kumfukuzia. Walifanikiwa kumkamata eneo la Mwenge. Trafiki aliingia ktk gari lake na kumwomba arudi eneo la ajali ili wakapime na kuchora mchoro wa ajali. Kibonde kagoma na kumtaka trafiki ashuke ktk gari lake, trafiki naye kagoma kushuka. Mchezo ulioendelea Kibonde aliondoa gari na kuanza kupiga misele, akizunguka mitaa akiwa na trafiki huyo! Trafiki aliwasiliana na wenzake ambao walianza kuifuatilia gari hiyo ya Kibonde kila kiunga cha jiji hususani eneo la Mwenge na Ubungo. Hayawi, hayawi yakawa, Kibonde akatokea maeneo ya mataa ya Ubungo, hapo nikashuhudia senema ya Kibonde na trafiki! Trafiki wa kike aliyekua eneo hilo akaipiga mkono gari ya Kibonde iliyokuwa kasi, gari hiyo haikuonesha dalili za kupunguza mwendo. Trafiki alikomaa kusimama mkono wake ukiwa juu kuashiria kumtaka Kibonde asimame huku akipaza sauti ktk radio call akisema ananigonga, afande, ananigonga! Akiwa ktk hali hiyo, kuna gari ilikotokea sikujua ikakatisha kati ya trafiki na gari ya Kibonde ndiyo ikawa kigingi cha gari ya Kibonde na kutiwa mbaroni! Aligoma kuendesha gari ikabidi livutwe hadi polisi Urafiki ambapo kwa sasa amepelekwa Oystabay! Kwa utafiti wangu kidogo nilioufanya nikifukuzana na muda kuwahi kanisani, ni kwamba Kibonde na watu wengine aliokuwanao ndani ya gari lake walikuwa 'TINGASI'!
 
Kubwa jinga huyo huwezi kujifunza lolote kwake???
 
Nchi za watu...hawezi tena kuwa mwandishi au mtangazaji labda wa blog
Mwajiri alitakiwa amfukuze
 
Nimejifunza kwamba Mtanzania hata awe na maneno mazuri na ya busara kiasi gani ,usimtilie uaminifu kozi every day ana sura 2 ila daily atakuonesha 1 siku ya siku ndo utakuja jua ya 2 ikoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…