kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,111
Misifa man.
Na apigwe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misifa man.
Nimeshangaa kumuona yoko selo na viatu!
Kwa taarifa hiyo hapo juu, Kibonde anakabiliwa na makosa yafuatayo:
(1) kuendesha gari amelewa
(2) kuendesha kwa use be na kusababisha ajali
(3) kukataa kutii amri halali ya polisi (3)
(4) kutaka kumgonga polisi
(5) kumteka polisi n.k.
anaho kazi kweli kweli, maana imehama kutoka traffic offence na kupelekea criminal
kalalapo au wamemtoa?
any update s
Ushabiki wake na propaganda kwa magamba umepitiliza, kiasi ambacho vipindi anavyoviendesha Clouds FM, wakati mwingine utahisi unasikiliza Radio Uhuru!watu wa karibu na nani?
kwanza haipendi JF, pili mjuaji mjuaji sana, tatu anadharau, 4 hajielewi kama hajielewi, 5 endelea na ww
Sio kufurahia Hapana bali ni kuto kuelewa mtu mkubwa mwanye heshma zake alafu anafanya jambo la kipumbavu, sawa ndio ajali imetokea yann usiache sheria ikafuata mkondo wake na yaishe kiusalama, haya angalia yote hayo yalio mkuta kudhalilishwa Kama jambazi sugu Ivii heheheeee it's funny kwakweli...
Nimawazo tu.
Jamaa anawagongea sana mademu zao
askari wanajitahidi sana kazi nzuri
Invisible mlituambia Jamii Media imeajili waandishi wake wa habari sasa wanafanya nini hii thread tumeshaanza kulishana matango pori ni kwa nini waandishi wa Jamii media polisi tupate usahihi wa habari hii?
Waste not "west"Guys, don't west your energy kwenye hii kitu! Jamaa wanatengeneza tangazo la utii wa sheria bila shurti nothing else! hutaki acha
Kwa taarifa hiyo hapo juu, Kibonde anakabiliwa na makosa yafuatayo:
(1) kuendesha gari amelewa
(2) kuendesha kwa use be na kusababisha ajali
(3) kukataa kutii amri halali ya polisi (3)
(4) kutaka kumgonga polisi
(5) kumteka polisi n.k.
anaho kazi kweli kweli, maana imehama kutoka traffic offence na kupelekea criminal
Ngoja nijivute obay station, nizuge namtafuta ndugu yangu ili nijiridhishe. Niko idle hapa home.
Wait for updates folks!?
jamaa kapigwa kibindo noma
Alikuwa ana Act jamani....
TANGAZO wadau tu hilo hahaha
Ilikuakuaje kwani