Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

watu wa karibu na nani?
kwanza haipendi JF, pili mjuaji mjuaji sana, tatu anadharau, 4 hajielewi kama hajielewi, 5 endelea na ww
 
ndg wanajukwaa naskitishwa na baadha ya watu na wengine Wa karibu kabisa wanasema et Ephraim kibonde kuwekwa lockup baada ya kusababisha ajali na makosa mengine ya kitrafiki ni fundisho kwake tena akome kabisa.
swali : kwani shida hasa ya huyu mtangazaji ni nini mpaka baadhi ya watu kufurahia matatizo aliyopata?
Kwanini wewe umehuzunika Kibonde kuwekwa sero?
 

Attachments

  • 1407609122257.jpg
    1407609122257.jpg
    85.8 KB · Views: 382
Jaman hilo ni tangazo mtakuja kuliona kwenye ma board ya matangazo hivi karibuni
 
Sinema ya Kibonde na Polisi kuwekana sero na viatu then kesho waje waseme ni igizo la utii wa sheria bila shuruti ni upuuzi unaopaswa kulaaniwa na kila Raia
 
Roho za Kiswahili huwa zinafurahi zaidi pale mtu wanaemjua anapopata Matatizo regardless ya Tabia zake.
 
Sio kufurahia Hapana bali ni kuto kuelewa mtu mkubwa mwanye heshma zake alafu anafanya jambo la kipumbavu, sawa ndio ajali imetokea yann usiache sheria ikafuata mkondo wake na yaishe kiusalama, haya angalia yote hayo yalio mkuta kudhalilishwa Kama jambazi sugu Ivii heheheeee it's funny kwakweli...
Nimawazo tu.
 
Sinema ya Kibonde na Polisi kuwekana sero na viatu then kesho waje waseme ni igizo la utii wa sheria bila shuruti ni upuuzi unaopaswa kulaaniwa na kila Raia
Nimeshangaa kumuona yoko selo na viatu!
 
Back
Top Bottom