Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo ni tangazo.......
Mods pls tatueni hii issue maana kuna mkanganyiko wengine wanasema tangazo wengine wanasema ni kweli nadhani mna wahandishi wa habari ebu watumieni kupata ukweli wa hii issue kama ni tangazo muupdate kwa juu na thread ifungwe.
huyu hapa akipelekwa polisi
tayari kashatoka??hakuepo jahazi
Mnaosema ni tangazo jibuni maswali haya 1:Kampuni gani iko responsible na production ya hilo tangazo? 2: Kibonde aliiingia mkataba na kampuni au jeshi la police au Wizara ya mambo ya ndani kuhusu kutengeneza hilo tangazo? 3: Je Ubungo mataa ndio ilikuwa desired location? 4: picha na clips zinazozunguka whatsaap hazionyeshi shooting crew na Vifaa vyao Kama kamera, lights etc je walikuwa wana shoot Kwa satellite? 5: Jana kibonde alionekana na hilo shati kwenye hafla Dodoma ya NHC so inamaana habadili shati au ndio katoka kwenye mitungi yake usiku kucha na kufanya mifujo bararani.
Sasa atakuwepo vipi wakati yuko nyuma ya nondo na wewe?
Aiseeee kumbe ni Tangazo la USALAMA BARABARANIIIIII jama akisoma ataona namna namna gani jamii haimpendi.
Sasa atakuwepo vipi wakati yuko nyuma ya nondo na wewe?
halafu yupo peku
Hivi mahabusu wanaingiaga na viatu? Basi wamemuoneahalafu yupo peku
Anamtegemea Jk best yao. Wakumbuke mwisho wake ni kesho kutwa