mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 566
Kwani bado yuko mahabusu ya Polisi? Inshu yenyewe ilikuwaje,,isijekuwa acting tuAngepigwa vibao kwanza, mshenzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani bado yuko mahabusu ya Polisi? Inshu yenyewe ilikuwaje,,isijekuwa acting tuAngepigwa vibao kwanza, mshenzi
Kama unajua askari wote UKAWA mbona huwambii wenzio kuwa UKAWA NI UNSTOPPABLE!!!
Hilo ni tangazo la kutii sheria bila shuruti
Umejifunza nini na unatoa ushauri gani kwake kwa tukio la kufanya ajali na kukaidi amri ya polisi? Na Kibonde huyu ndiye yupo mstari wa mbele kwenye matangazo ya utii wa sheria bila shurti katika usalama barabarani!
ndg wanajukwaa naskitishwa na baadha ya watu na wengine wa karibu kabisa wanasema et ephraim kibonde kuwekwa lockup baada ya kusababisha ajali na makosa mengine ya kitrafiki ni fundisho kwake tena akome kabisa.
Swali : Kwani shida hasa ya huyu mtangazaji ni nini mpaka baadhi ya watu kufurahia matatizo aliyopata?