Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Kama ametoka basi polisi wanaupendeleo.

Angekuw raia mwingine hio hadi j3
 
Umejifunza nini na unatoa ushauri gani kwake kwa tukio la kufanya ajali na kukaidi amri ya polisi? Na Kibonde huyu ndiye yupo mstari wa mbele kwenye matangazo ya utii wa sheria bila shurti katika usalama barabarani!
 
Hahahahahahahaaaaaaa!! Maisha ni nyumba! wangempeleka segerea masela wakampetipeti
 
Aache ujuaji mwingi km anajidanganya anajua zaid hajui kitu kabisa mbulula tu na sifa za kijinga
 
attachment.php

I'm locked up they won't let me out
 
Kwa taarifa hiyo hapo juu, Kibonde anakabiliwa na makosa yafuatayo:
(1) kuendesha gari amelewa
(2) kuendesha kwa use be na kusababisha ajali
(3) kukataa kutii amri halali ya polisi (3)
(4) kutaka kumgonga polisi
(5) kumteka polisi n.k.
anaho kazi kweli kweli, maana imehama kutoka traffic offence na kupelekea criminal
 
Umejifunza nini na unatoa ushauri gani kwake kwa tukio la kufanya ajali na kukaidi amri ya polisi? Na Kibonde huyu ndiye yupo mstari wa mbele kwenye matangazo ya utii wa sheria bila shurti katika usalama barabarani!

mshenzi sana yule, huwezi kumshauri mshenzi yule.
 
Ila kumbe kibonde ni mtu maarufu! Naona anafatiliwa na kusomwa kwelikweli
 
Amelewa sifa kawa mpumbavu tu sote tuko chini ya sheria tukisema kila mtu atumie ubabe itakuwa taifa la aina gani,polisi wangevunja mguu wake mmoja ili iwe kumbukumbu nzuri kwake.
 
ndg wanajukwaa naskitishwa na baadha ya watu na wengine Wa karibu kabisa wanasema et Ephraim kibonde kuwekwa lockup baada ya kusababisha ajali na makosa mengine ya kitrafiki ni fundisho kwake tena akome kabisa.
swali : kwani shida hasa ya huyu mtangazaji ni nini mpaka baadhi ya watu kufurahia matatizo aliyopata?
 
Yeye angetii yasikuwa hivi sikutegemea MTU Kama kubonde kufanya tukio LA kutotii sheria wkt yeye huwa anasisitiza utii WA sheria WA kubaki njua kuu
 
ndg wanajukwaa naskitishwa na baadha ya watu na wengine wa karibu kabisa wanasema et ephraim kibonde kuwekwa lockup baada ya kusababisha ajali na makosa mengine ya kitrafiki ni fundisho kwake tena akome kabisa.
Swali : Kwani shida hasa ya huyu mtangazaji ni nini mpaka baadhi ya watu kufurahia matatizo aliyopata?

haipendi jf
 
Back
Top Bottom