Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Silipendi hili jamaa
kwani lenyewe linakupenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silipendi hili jamaa
tayari kashatoka??hakuepo jahazi
Kwanini wewe umehuzunika Kibonde kuwekwa sero?ndg wanajukwaa naskitishwa na baadha ya watu na wengine Wa karibu kabisa wanasema et Ephraim kibonde kuwekwa lockup baada ya kusababisha ajali na makosa mengine ya kitrafiki ni fundisho kwake tena akome kabisa.
swali : kwani shida hasa ya huyu mtangazaji ni nini mpaka baadhi ya watu kufurahia matatizo aliyopata?
Sasa atakuwepo vipi wakati yuko nyuma ya nondo na wewe?
Jaman hilo ni tangazo mtakuja kuliona kwenye ma board ya matangazo hivi karibuni
Nimeshangaa kumuona yoko selo na viatu!Sinema ya Kibonde na Polisi kuwekana sero na viatu then kesho waje waseme ni igizo la utii wa sheria bila shuruti ni upuuzi unaopaswa kulaaniwa na kila Raia