Mawenzi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,251
- 347
Yupo nje kwa dhamana..
Aliachiwa lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo nje kwa dhamana..
Siku hizi vituo vya Polisi vinatumika kutengeneza matangazo ya biashara?
![]()
hapo sasa!
Mbona hawajamuandikia la kuteka askari maana kuna watu juzi waliandikiwa pale karume kwa kumteka askari alifanya kama alivyofanya Kibonde. Hii nchi ina double standard.katika kituo cha Oysterbay ili kutaka kujua mustakabali mzima wa ishu hiyo ambapo alimshuhudia Kibonde akiwa amesimama nyuma ya nondo huku akiwa anaimba nyimbo anazozijua mwenyewe.Mtangazaji huyo
amefunguliwa kesi iliyopewa RB namba OB/RB/13806/20014 KUGONGA NA LUGHA YA MATUSI.
lilikua tangazo wakuu
Ni kweli ni tangazo bado wanaendelea ku-shoot tu angalia Gadner na kibonde wana record tangazo wakiingia mahakama ya kinondoni.
![]()
Hii kesi imeishia wapi?!
Ngoja waje...Hii kesi iliishia wapi?