Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Rudi ukajibu kwenye Ule Uzi wakoSasa Mayele naye ni striker wa kutisha? Hata goli 17 alishinda kufikisha, anashindana na Mpole na Saido? Tumuitaje Kagere sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudi ukajibu kwenye Ule Uzi wakoSasa Mayele naye ni striker wa kutisha? Hata goli 17 alishinda kufikisha, anashindana na Mpole na Saido? Tumuitaje Kagere sasa?
Akirudi kule kwenyeRudi ukajibu kwenye Ule Uzi wako
Hawezi kwanza maana anaona aibu atajibu nini?Akirudi kule kwenye
uzi wake nistue niko palee[emoji23]
High fitnessView attachment 2701682View attachment 2701683View attachment 2701684View attachment 2701685
Taarifa za huyu mtu huko Uturuki zinadhihirisha Yanga walikuwa sahihi kulia kuibiwa mchezaji.
Kiko wapi Mhasibu?
Muha Sibu
Kwani kakosea wapi? Ngoma ni bonge la mchezaji. Nadhani Simba wamtumie zaidi kama namba 8, ana uwezo mkubwa wa kupiga pasi zinazopenya vizuri sana ngome ya mpinzani.Huyu jamaa atajiua mwenyewe na nyuzi zake uchwara!
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hahaaaaaaaaaaaa Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya.View attachment 2701682View attachment 2701683View attachment 2701684View attachment 2701685
Taarifa za huyu mtu huko Uturuki zinadhihirisha Yanga walikuwa sahihi kulia kuibiwa mchezaji.