Picha: FFU Demo in Mbeya

Safi sana na kazi nzuri kwa askari mwetu wakakamavu na waliotayari kuwadhibiti wahuni muda wowote ule watakaojaribu kuleta chokochoko .Mdude alipowaona hao ikabidi akajifiche vichakani huko na mibangi yake. Mpaka muda huu ameendelea kujificha kama panya.
 
Kwenda zako huko
 
Mkuu, punguza hicho kitu unatumia. Ni hatari kwa afya yako.
 
Polisi ndio wame andamana 🤔🤔
 
Sasa silaha za msaada za nini hapo?
Hakuna adui mwenye silaha ya moto,,,, aya hizo boot za nini? Showtime
 
Watoa taarifa wanaandamana lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…