yaaahnaomba kujua
hivi huyu mayweather ni yule aliwahi kupigana na big show kipindi kile WWE.???
halafu wana masumbwi wote wana hela kama yeye au ni yeye tu??
maana jamaa ana show off duniani sijaona
komenti za waswahili zinazo mkosoa "meiweza" ni chache sana kulinganisha na comment za wamarekani weusi.Waswahili acheni wivu kama yey kapost pesa ni za kwake ,acheni roho mbaya na wivu wa kiboya msimpangie mtu lifestyle yake , hata akifilisika ni yeye na usitegemee hata akifilisika atakuwa maskini kama wewe
hao chuki zao tu za bure kwa sababu Mayweather si miongoni mwao na haukubali u Africa hata kidogo ndo maana shutuma juu yake haziishikomenti za waswahili zinazo mkosoa "meiweza" ni chache sana kulinganisha na comment za wamarekani weusi.
kule fb kwa mfano,asilimia kubwa ya wanaomkosoa na wasiopendezwa na mbwembwe zake za kijinga,ni "maniga" wanzie wamerekani weusi.
basi sawa.hao chuki zao tu za bure kwa sababu Mayweather si miongoni mwao na haukubali u Africa hata kidogo ndo maana shutuma juu yake haziishi
Baby face Assassin...team Golden state warriors,
team Curry,
team Ushindi,
ila hilo pozi la Steph kwenye picha utadhani katoto
Bro kwa hilo dongo shikamoooMwafrica hata akiwa Mmarekani utamjua tu. Hela zote hizo za nini hadharani ?!
Ukisikia watu wavivu ni wahaya jamani huwezi amini nilienda kijiji kwetu bukoba sikuamini kama watu wanalima wamekaa.mkuu kule ni kilimo sana cha ndiziHivi mkuu Wahaya wanalima mazao gani? au niwafungaji wakawaida
JAMAA BOYA #1 DUNIANI
OVA
Sio Rahis hyu jamaaa kufa maskin au kufirisika maana kawekjeza vyanzo vya maana. So Respect to HimHuyu atakufa maskini na hatawika tena
wana wivuMwenzenu amebeti kala hela hana hasara maisha yake hapo Las Vegas ni kubet amenunua machine kabisa.Huyu jomba anabahati na mikeka balaa.
Ana asili ya kuhaya uyohMwafrica hata akiwa Mmarekani utamjua tu. Hela zote hizo za nini hadharani ?!