PICHA: Floyd Mayweather na jeuri ya hela

PICHA: Floyd Mayweather na jeuri ya hela

Watu wanachukia... kwani pesa zenu? Hizo ni chapaa zake halali ndiyo maana anazitumia kama anavyotaka na hata akifilisika si tatizo maana hatokuja kukuomba msaada. Mwenyewe anasema amefanya "smart investment" na ukumbuke wakati anatrain kwa mazoezi ya kufa mtu haukuwa pale kumsaidia kwahiyo mwacheni Floyd aishi anavyoweza US is the land of the free.
 
Huyu bonge la mshamba tu, ngoja watoto wa kihuni wam Kardashian na yeye.
 
Waswahili acheni wivu kama yey kapost pesa ni za kwake ,acheni roho mbaya na wivu wa kiboya msimpangie mtu lifestyle yake , hata akifilisika ni yeye na usitegemee hata akifilisika atakuwa maskini kama wewe
 
mda mwingine sisi watu weusi tuna jisababishia wenyewe tuonekane mabwege au watu tusio na msaada wowote kwa ustawi wa dunia hii mbele ya wazungu.

anachofanya "meiweza" ni taswira tosha ya mtu mweusi aliyefanikiwa ktk jamii yake.

mbwembwe za kijinga,ulafi,uroho mamlaka/madaraka na ubinafsi.huyo ndio sisi watu weusi tulivyo.
 
Waswahili acheni wivu kama yey kapost pesa ni za kwake ,acheni roho mbaya na wivu wa kiboya msimpangie mtu lifestyle yake , hata akifilisika ni yeye na usitegemee hata akifilisika atakuwa maskini kama wewe
komenti za waswahili zinazo mkosoa "meiweza" ni chache sana kulinganisha na comment za wamarekani weusi.

kule fb kwa mfano,asilimia kubwa ya wanaomkosoa na wasiopendezwa na mbwembwe zake za kijinga,ni "maniga" wanzie wamerekani weusi.
 
hao chuki zao tu za bure kwa sababu Mayweather si miongoni mwao na haukubali u Africa hata kidogo ndo maana shutuma juu yake haziishi
 
Mwenzenu amebeti kala hela hana hasara maisha yake hapo Las Vegas ni kubet amenunua machine kabisa.Huyu jomba anabahati na mikeka balaa.
wana wivu
 
Back
Top Bottom