Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,375
Hapana, ni ukoo wa akiba Rwegasira! Wale wa nshambyaUyu jamaa hana undugu na kina Rutashobya?
Dude, ungekuwa na discipline hata robo ya aliyonayo Floyd, ungekuwa mbali sana kimaisha...
Jamaa ana discipline na determination kubwa sana... He earned his money.
HIYO SYO DICIPLINE..NINACHOSRNA NDIYO NINACHOKIAMINI,NISHAWSONA WATU WE GI WALIPATA PESA N'A WAKAWA WANAZICHEZEA HIVYO,NISHAWAONA WATU WALIKUWA WANA PATA FEDHA NYINGI KIBONGOBONGO...MTU GARI LAKE ANAOSHEA BIA ENZI ZA TUNDURU WE SIJUI KAMA UTANIELEWA,FEDHA INATAKA DICIPLINE
WE UNASHABIKIA UPUMBAVU NYIE NDIYO MKIPATA HELA .....PESA ZINAWA CONTROL KWA KUFANYA UPUUZ KAMA HUO BADAYE WAKIFILISIKA WANAANZA KULALAMIKA.....Hujui hata kuandika...
Tafuta wa kiwango chako ndo umuandikie huu upupu.
Hehehe Huyu..[HASHTAG]#boondocks[/HASHTAG]... anachofanya myweather anaona sawa tu...Angekua huku angekua anaishi bukoba
Ndio huyo,kipesa amewazidi wanasumbwi wotenaomba kujua
hivi huyu mayweather ni yule aliwahi kupigana na big show kipindi kile WWE.???
halafu wana masumbwi wote wana hela kama yeye au ni yeye tu??
maana jamaa ana show off duniani sijaona