PICHA: Floyd Mayweather na jeuri ya hela

PICHA: Floyd Mayweather na jeuri ya hela

HIYO SYO DICIPLINE..NINACHOSRNA NDIYO NINACHOKIAMINI,NISHAWSONA WATU WE GI WALIPATA PESA N'A WAKAWA WANAZICHEZEA HIVYO,NISHAWAONA WATU WALIKUWA WANA PATA FEDHA NYINGI KIBONGOBONGO...MTU GARI LAKE ANAOSHEA BIA ENZI ZA TUNDURU WE SIJUI KAMA UTANIELEWA,FEDHA INATAKA DICIPLINE
Dude, ungekuwa na discipline hata robo ya aliyonayo Floyd, ungekuwa mbali sana kimaisha...

Jamaa ana discipline na determination kubwa sana... He earned his money.
 
HIYO SYO DICIPLINE..NINACHOSRNA NDIYO NINACHOKIAMINI,NISHAWSONA WATU WE GI WALIPATA PESA N'A WAKAWA WANAZICHEZEA HIVYO,NISHAWAONA WATU WALIKUWA WANA PATA FEDHA NYINGI KIBONGOBONGO...MTU GARI LAKE ANAOSHEA BIA ENZI ZA TUNDURU WE SIJUI KAMA UTANIELEWA,FEDHA INATAKA DICIPLINE

Hujui hata kuandika...
Tafuta wa kiwango chako ndo umuandikie huu upupu.
 
Hujui hata kuandika...
Tafuta wa kiwango chako ndo umuandikie huu upupu.
WE UNASHABIKIA UPUMBAVU NYIE NDIYO MKIPATA HELA .....PESA ZINAWA CONTROL KWA KUFANYA UPUUZ KAMA HUO BADAYE WAKIFILISIKA WANAANZA KULALAMIKA.....
PESA LAZIMA UIHESHIMU

OVA
 
naomba kujua
hivi huyu mayweather ni yule aliwahi kupigana na big show kipindi kile WWE.???
halafu wana masumbwi wote wana hela kama yeye au ni yeye tu??

maana jamaa ana show off duniani sijaona
Ndio huyo,kipesa amewazidi wanasumbwi wote
 
Back
Top Bottom