Picha Gari Hammer H1 Military Heavy Machine

Picha Gari Hammer H1 Military Heavy Machine

Hii ni hammmer au humvee??

Hizi gari mbili tofauti yake ni nini!?
 
Hii ni hammmer au humvee??

Hizi gari mbili tofauti yake ni nini!?
Hapo mwanzo kabisa gar za HMMWV( The High Mobility Multipurpose Wheeled Vehicle) zinafupishwa kwa kuitwa Humvee zilikuwa zinatumika kwa ajili ya shughuli za kijeshi tu au na majeshi tu kama kubeba troops na kazi zingine za kijeshi na zilikuwa zina nunuliwa na majeshi tu.

Sijajua waliwaza nini baadae wakaona ingewapendeza kama wakitoa aina nyingine kwa ajili ya civilians au gari za kawaida za kuendea sokoni na shughuli zingne ndiyo kuanza kutoa hizo Hummer 1 na 2 na kuendelea....

So humvee ni za kijeshi au gari za kazi...na
Hummer ni kama hizo wanazo endesha wakina massoud Kipanya.

Hiyo inayo mbeba magu ni humvee maana ndiyo gari zilizo chukuliwa na majeshi kwa shughuli za kijeshi.

Picha ya humvee na hummer.
300px-2015_MCAS_Beaufort_Air_Show_041215-M-CG676-161.jpg
Hummer_H1_Alpha_Wagon.jpg


Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom