ππππππkwakwel awakukosea kuita nyumbuSIO KABISA Mkuu tuliingizwa changa la macho, gari zote zilizombeba Maraehemu JPM ni Hammer
NYUMBU za Kibaha ni hizi hapa
View attachment 1732393 View attachment 1732396
View attachment 1732401 View attachment 1732404
Hizi nyumbu zisingeweza ule mwendo wa Dodoma Chamwino kuupeleka mwili Ikulu
tungesikia maajabu tu lazima
cc Cash Money Forever
Sure wana assamble products za layland.nyumbu hawatengenezi gari za zimamoto, wanafabricate mabodi na kuveshaπ
Hapo mwanzo kabisa gar za HMMWV( The High Mobility Multipurpose Wheeled Vehicle) zinafupishwa kwa kuitwa Humvee zilikuwa zinatumika kwa ajili ya shughuli za kijeshi tu au na majeshi tu kama kubeba troops na kazi zingine za kijeshi na zilikuwa zina nunuliwa na majeshi tu.Hii ni hammmer au humvee??
Hizi gari mbili tofauti yake ni nini!?