Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Gari la serikali ni kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya serikali.
Hata ukimbeba mwanao kumpitisha shule wakati unaelekea kazini likitokea la kutokea ujue imekula kwako.
Watu wengi wenye kupenda umwinyi hutumia magari ya serikali kinyume na muongozo wa utumishi.
Hapo atakuwa njiani kutoka Bar kulewa anamwambia dereva awashe taa za tahadhari kumbe ndani kuna mlevi flani tu[emoji16][emoji16]
Kwa hyo ukiwa na gar ya serikali huruhusiwi kwenda bar?
Upo Sahihi Mkuu.
Wakati mwingine anaweza kuwa ameenda kumchukua Boss wake hapo..
Na pia kuwa Bar si kwenda kulewa tu..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]leo nimekubahatisha[emoji16]
Kuharibiana kazi tu..jamaa anataka kumchoma mwenzie tu
Natumaini ingekuwa gari ya ACT ungetolea Naomi haya haya.SU maana yake ni SOMA ULE.
Muache ale huyo boss.
In the serious note, hatuwezi kumtolea tuhuma huyo driver au boss aliyekuwa kwenye hilo gari kwa kuwa hatujui alikuwa kwenye mazingira gani mpaka alipofika hapo.
Huenda alipomfikisha boss somewhere, driver alitoka kutafuta chakula au maji kwa kuwa boss hulala executive lodges and on the way kwenda guest house driver alipofikia akaamua kujipatia kitu cha kula au jujichukulia maji hapo, au hata ukute huyo boss ndio alimtuma huyo driver akamchukule nyama choma mahali au ukute walikuwa safarini wakaingia hapo kula au kunywa.
Kosa kubwa baada ya kutoka hapo ni kuendesha hilo gari akiwa amelewa na asababishe ajali.
Nlijua Mida ya popoo kmbe mapema kbsaalafu ukute jamaa ameenda kunywa maji au juice hapo huku anamsubiri mtu wafanye mazungumzo
Kuharibiana kazi tu..
Nlijua Mida ya popoo kmbe mapema kbsa
Ova
Anataka kumletea zengwe tusi ndio hapo mkuu,kwa mida hiyo mambo ni mengi sana.kuna kitu mleta mada kinamsumbua
Kweli kabisa au hata kampeleka boss wake kukutana na watualafu ukute jamaa ameenda kunywa maji au juice hapo huku anamsubiri mtu wafanye mazungumzo
Bila shaka wewe utakuwa Mwalimu kwa muktadha wa Mada yako maaana siyo kwa Majungu na Umbea huo. Gari ya Shirika la Umma kuwepo hapo unashangaa na kuleta mada za KUKOSA? Je kama ni TANESCO wanafuatilia mteja/Bar halafu wewe umepiga picha unaanzishia uzi. Acha kutumia Tecno yako kipuuuzi hivyoKuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi!
SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
View attachment 1498150
umaskini mbaya sana. naenda kafanye kz unajuaje yuko kznKuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi!
SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
View attachment 1498150
Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi!
SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
View attachment 1498150
[emoji23][emoji23][emoji23]Gari la UN watu wananyanduana sembuse SU kulewea.