PICHA: Gari lenye choo maalum cha Rais Yoweri Museveni wa Uganda

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Gari hili lina jiko kubwa, eneo la ofisi na sehemu ya kupumzika pia shughuli za mapishi zinafanyika wakati gari likiwa kwenye mwendo ambapo Rais anaweza kupata chakula kwa wakati anaotaka

Kwa nje gari hili lina mifumo mingi ya kumsaidia Dereva kwenye kuliendesha, mifumo hiyo inahakikisha viwango vya juu vya usalama na utunzaji wa gari. Vyanzo mbalimbali vinakadiria kuwa gari hilo linagharimu zaidi ya Tsh. Milioni 400

Museveni aliyehudhuria uapisho wa Ruto ikiwa ni mara yake ya 4 na yeye akiwa bado madarakani tangu 1986, anatumia Gari hilo kwenye ziara zake zote Afrika Mashariki, na taarifa zinadai hufanya hivyo kuepusha haja zake kuachwa kwenye Nchi anazokwenda kwasababu za Kiusalama.










 
Nimecheka balaa yaan wanaokomenti Uzi huu angekuwepo siro wote wangelala central pale...
 
Kwa African leaders hakuna kinachoshindikana kwao!
Apewe pongezi mr Museveni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…