PICHA: Gari lenye choo maalum cha Rais Yoweri Museveni wa Uganda

PICHA: Gari lenye choo maalum cha Rais Yoweri Museveni wa Uganda

Huku bongo wanapokezana kutupiga toka 1977 na kule museveni anawapiga peke yake toka 1986!Huu uzuzu utatuweka kwenye maajabu ya dunia.

Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
 
Yoweri kaguta museveni 😉😉 ana mapungufu yake ila kaitengeneza uganda bana, mpaka muda huu
1. hakuna sehemu uganda ambayo haina umeme.
2. Hakuna sehemu uganda bado barabara hazina lami.
3. Hospital nzuri ndo usiseme.

Etc etc

Wale ntakaokuja kupinga ooh uganda ni nchi ndogo ooh what what!

Ila sisi tuna mali nyingi sana na za kipekee ambazo hazipo kwenye nchi nyingi.
 
Yoweri kaguta museveni [emoji6][emoji6] ana mapungufu yake ila kaitengeneza uganda bana, mpaka muda huu
1. hakuna sehemu uganda ambayo haina umeme.
2. Hakuna sehemu uganda bado barabara hazina lami.
3. Hospital nzuri ndo usiseme.

Etc etc

Wale ntakaokuja kupinga ooh uganda ni nchi ndogo ooh what what!

Ila sisi tuna mali nyingi sana na za kipekee ambazo hazipo kwenye nchi nyingi.
Nin rafiki angu anaishi busia huko na wilaya lkn analamika kuwa mkp sasa hawana umem anashanga tz mkp vijini umeme upo na maish yNaenda

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
IMG-20220914-WA0154.jpg

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
Hata kwenye mabasi, ndege kuna vyoo.

Shida ni nini hapo kwa huyo dikteta kuzunguka na mavi yake kwenye gari yake??!!
 
Eti hataki kuacha mavi yake anakokwenda sababu ya usalama, usalama gani wa kurogwa au

Au watafanyia utafiti mavi ya Rais kujua vinasaba vyake
 
Kumbe, hata kwenye msafara wa Rais hapa Bongo gari kama hilo lipo.
 
Back
Top Bottom