Picha: Gari yaibwa Afrika ya Kusini na kupatikana baada ya masaa matatu ikiwa kwenye hali hii

Picha: Gari yaibwa Afrika ya Kusini na kupatikana baada ya masaa matatu ikiwa kwenye hali hii

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
EkOJx-WXkAQY1Mb.jpg
EkOJx-VWAAAHKY1.jpg
EkOJx7dWkAQGydH.jpg
EkOJx7dXkAAZR-C.jpg
 
Kubomoa hakunaga ufundi hao wanakuaga wazuri kwenye kubomoa tu lakini ukiwaambia walirudishe kama mwanzo lilivyokua wanasanda
Hapo hawajabomoa wamefungua mkuu. Kulirejesha lilivyokuwa ni rahisi
 
Huku uswahilini maduka mengi sana ya spare yameandikwa hivyo...Duka la vifaa vya conputer na software kaandika softwere
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
mhhh hawa ni wezi sio bure, nadhani wana mafunzo maalum ya kufungua magari
 
Kuna MTU aliamka akakuta gari yake ipo juu ya mawe.
Watu wametembea na matairi
 
mbona hawaja toa kioo cha mbele na iko cha nyuma ambavyo ndo vikubwa
 
Kuna MTU aliamka akakuta gari yake ipo juu ya mawe.
Watu wametembea na matairi
Huyo walimuulumia huku kuna jamaa alikuwa anapenda kulaza ka fuso kake nje siku moja alikuta wauni wamefungua dif wakasepa nayo
 
Back
Top Bottom