Hapo inawezekana wanauza vipuri vya magari, ndio maana unaona gari zote hizo zimekongolewa.
Na inawezekana kuna baadhi ya gari zilihusika na ajali na matokeo yake wanaamua kuuza vipuri.
Hata wewe unaweza ukawa na gari yako inasumbua, ukaanza kuuza kipuri kimoja baada ya kingine