Picha: Ghetto la ndege John

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kama walivyo vijana wengi na Mimi nimepanga Chumba mitaa fulani hapahapa mjini dar.nawakaribisha wote kunitembelea
Nimekuletea picha za chumba changu.chumba changu kimsingi kina vitu vingi kama vile stoo ila maisha ndo hivo yanaendelea
 
Unanikumbusha ile nyimbo ya Uliza Kiatu. Na pia sema jumba langu. maana hapa hata demu hachomoki la maana sana
 
Jiko La gesi unaliweka chumbani mkuu uko serious na uhai wako kweli, ushauri wangu jitahidi usafi ni aibu mifuniko ya ndoo kuiweka juu ya godoro. Punguza kwenda kwenye mikutano ya ccm ufanye usafi ghetto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…