Picha: Ghetto la ndege John

Picha: Ghetto la ndege John

Mkuu, hizo buku saba saba huwa mnapeleka wapi kwani?
 
Jiko La gesi unaliweka chumbani mkuu uko serious na uhai wako kweli, ushauri wangu jitahidi usafi ni aibu mifuniko ya ndoo kuiweka juu ya godoro. Punguza kwenda kwenye mikutano ya ccm ufanye usafi ghetto.
Kumbe anatakiwa akaliweke wapi na ana chumba kimoja? Mbona mnataka kufanya maisha ya sie wengine yaonekane magumu kuliko yalivyo maana yalishakuwa magumu tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Geto la Kada wa CCM hilo.

Kama la Mangwear.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shati langu ninalolipenda kuliko yote
1554631116136.jpeg
 
Jiko La gesi unaliweka chumbani mkuu uko serious na uhai wako kweli, ushauri wangu jitahidi usafi ni aibu mifuniko ya ndoo kuiweka juu ya godoro. Punguza kwenda kwenye mikutano ya ccm ufanye usafi ghetto.
Kidumu Chama cha mapinduzi
1554631235472.jpeg
 
Kwa hiyo aliweke likae nje? Atalikuta? Sisi kwetu hata ndoo za kuogea hatuachi nje uniambie niweke jiko nje kweli?? Ungekuwa unaishi uswahilini kama unavyojifanya hapa usingesema hiyo kauli maana ungekuwa unajua mazingira ya uswahilini
Akaliweke nje ya nyumba huku kwetu uswahilini tunapikia ukumbini au nje kabisa kuepusha hatari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom