Picha: Ghetto la ndege John

Picha: Ghetto la ndege John

We jinga kweli ndio maana mnataka kuiweka ccm milele.. Yaani unaridhika na hiyo stoo eti chumba. Unaridhika na hivyo Viatu kama mtego wa kukamatia swala.


Hayo maisha inabidi yakupe hasira sio kuridhika ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu na ndoto zake na mipango yake..wewe Baki na hasira zako ukiua tafuta utajiri.. Mimi nimeridhika na fedha zangu
 
Unanikumbusha ile nyimbo ya Uliza Kiatu. Na pia sema jumba langu. maana hapa hata demu hachomoki la maana sana

Unanikumbusha ule wimbo wa Uliza Kiatu. Na pia sema jumba langu. maana hapa hata demu hachomoki la maana sana
 
Kama walivyo vijana wengi na Mimi nimepanga Chumba mitaa fulani hapahapa mjini dar.nawakaribisha wote kunitembelea
Nimekuletea picha za chumba changu.chumba changu kimsingi kina vitu vingi kama vile stoo ila maisha ndo hivo yanaendelea View attachment 1064789View attachment 1064790View attachment 1064791View attachment 1064792View attachment 1064793
Bonge la Ghetto mkuu,afu mi nimependa hicho kideo kinaendana na hiyo raba yenye rangi nyeuoe na nyekundu hongera sana kamanda,kiubishiubishi tutalisonga tu.
 
Back
Top Bottom