James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Huyu jamaa anaweza kuwa anatujua wote humu hahaaa...Hivi wewe unajua kila mtu humu JF?
Accuracy yake ni 80% it's scaryHuyu jamaa anaweza kuwa anatujua wote humu hahaaa...
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Daaah kweli kama wahenga walivyosema "Pombe sio chai"Kama walivyo vijana wengi na Mimi nimepanga Chumba mitaa fulani hapahapa mjini dar.nawakaribisha wote kunitembelea
Nimekuletea picha za chumba changu.chumba changu kimsingi kina vitu vingi kama vile stoo ila maisha ndo hivo yanaendelea View attachment 1064789View attachment 1064790View attachment 1064791View attachment 1064792View attachment 1064793
Natumia kitoko na sigara kali.Karibu Sana mkuu anytime ukijisikia na vinywaji tutaagiza dukani sio mbali
Harufu ya hiyo boot mpk huku aisei...!Kama walivyo vijana wengi na Mimi nimepanga Chumba mitaa fulani hapahapa mjini dar.nawakaribisha wote kunitembelea
Nimekuletea picha za chumba changu.chumba changu kimsingi kina vitu vingi kama vile stoo ila maisha ndo hivo yanaendelea View attachment 1064789View attachment 1064790View attachment 1064791View attachment 1064792View attachment 1064793
Sawa vitoko viwili 5000 tu
hili sasa ndio ghetto lako sio lile la ukuta wa pinkKidumu Chama cha mapinduziView attachment 1064911
hahaha we jamaa shati la ccm lipo kwenye msumali ,kwenye ndoo za chakula nahisi hadi chooni[emoji16][emoji16]Bangi zipo hapo ndaniView attachment 1064912
kweli kabsa hyu jamaa maisha yake ni KAM ndegeUnaishi kama ndege kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hoi kwakweli..!!Hicho kifurushi cha mfuko mweupe vepe au unatembeza mitunda unileteeView attachment 1065286
Sent using Jamii Forums mobile app
wee jamaaa ni boya kwa kweli nimekiangalia nikachekaMkuu hcho kiachu cha Brown mbona Kama kinataka kummeza mtu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1064852
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uzur ghetto kama hilo unaibiwa mali zako kwa Pa1😎😎 Jus kiddingUzuri wa kuishi gheto kama hilo ukiamka Mali zako unaziona zote kwa pamoja
Sent from my iPhone using JamiiForums