Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Nilikuwa napita huu uzi kama sijauona kumbe una burudani hivi.
Hivyo viatu vinakutosbha kweli!
Hivyo viatu vinakutosbha kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah vinantosha brazaNilikuwa napita huu uzi kama sijauona kumbe una burudani hivi.
Hivyo viatu vinakutosbha kweli!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JF ina burudani sanaa.Ninachokushukuru umeifanya asuhuh yangu iwe njema sana. Nimechekaaa [emoji2][emoji1][emoji23].
Huko ndani unapata hewa kweli?
Basi una mguu mkubwa sana!Hahahah vinantosha braza
Mkuu Viatu vya Samaki nataka koro show zanguBasi una mguu mkubwa sana!
Njoo Peimu kuna jambo nyeti zaidi ya nyeti za ndege John.Mkuu Viatu vya Samaki nataka koro show zangu
Hhahahahahaha hilo jambo ni zito...ngoja nijeNjoo Peimu kuna jambo nyeti zaidi ya nyeti za ndege John.
Ni Zito hata Kabwe haliwezi.Hhahahahahaha hilo jambo ni zito...ngoja nije
Hahahaha
Naunga hoja miguu na mikono kwapazote mbili sio mojaSahihi kabisa mkuu,
There is no greater wealth than peace of mind.
Huyu ndege John nilikuwa nafikiri ni yule kapteni wetu mhamasishaji wa soka kipindi kile cha mechi.Naunga hoja miguu na mikono kwapazote mbili sio moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kwanza anaonekana tu anavyoonekana hawezi kuwa yule aysee.Huyu ndege John nilikuwa nafikiri ni yule kapteni wetu mhamasishaji wa soka kipindi kile cha mechi.
Ila nilipoona viatu vyake vilivyo vikubwa nikajua kapteni mguu wake hauwezi kutosha humo.
Ila yule yupo humu nipe muda nitakupa anuani yake kuna siku nimeona taarifa yake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kwanza anaonekana tu anavyoonekana hawezi kuwa yule aysee.
Natamani nifaham Id yake sana. Anamea kitamba tu.Ila yule yupo humu nipe muda nitakupa anuani yake kuna siku nimeona taarifa yake.
Andika jina lake lile lile utamwona.Natamani nifaham Id yake sana. Anamea kitamba tu.
Nimeipata ila hii iko kikazi zaidi.Andika jina lake lile lile utamwona.
Yah.Nimeipata ila hii iko kikazi zaidi.
Ninachokushukuru umeifanya asuhuh yangu iwe njema sana. Nimechekaaa [emoji2][emoji1][emoji23].
Huko ndani unapata hewa kweli?