Mfia chama wa ccm😂😂😂😂😂😂 Daah maisha bwana.
Naona track suit vipi wewe mkimbiza mwenge?
Asogee Lumumba hapo akiwa na kadi anunuliwe kitanda cha 150k.Mfia chama wa ccm
Kinaomba huruma ya huyu mja wa Mola.Kina vumbi la kuanzisha tafrani ya mafua kama yote.Man,it's horrible!Mkuu hcho kiachu cha Brown mbona Kama kinataka kummeza mtu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1064852
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaUzuri wa kuishi gheto kama hilo ukiamka Mali zako unaziona zote kwa pamoja
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama una furaha na Maisha yako safi, maana kuna Watu wana Mahekalu ila awana furaha hata chembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama walivyo vijana wengi na Mimi nimepanga Chumba mitaa fulani hapahapa mjini dar.nawakaribisha wote kunitembelea
Nimekuletea picha za chumba changu.chumba changu kimsingi kina vitu vingi kama vile stoo ila maisha ndo hivo yanaendelea View attachment 1064789View attachment 1064790View attachment 1064791View attachment 1064792View attachment 1064793
Huwezi amini hii sms yako imenichekesha mno 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asogee Lumumba hapo akiwa na kadi anunuliwe kitanda cha 150k.
😂😂😂😂Imenibidi niangalie tena pichaHahahahah hivi mkuu mbona kitanda kimejaa huwa unalala ukiwa umesimama?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaaUzuri wa kuishi gheto kama hilo ukiamka Mali zako unaziona zote kwa pamoja
Sent from my iPhone using JamiiForums