Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hahahahaha hayo hayo maana kuna mazagazaga kibao hapoKama ya yule uncle wa magogoni.,..alisema analala na mafaili kitandani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio, kwani ulikuwa hujui?Kwani ninyi ni mapacha?[emoji16][emoji16][emoji16]
Kitanda kina mambo meΓ±gi hicho sijui huwa analala wapi hahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imenibidi niangalie tena picha
Hii ni all-in-oneYes ila jiko linatengwa.
Wewe mtoto.... πKama ya yule uncle wa magogoni.,..alisema analala na mafaili kitandani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa inafahamika ikifika usiku.Kitanda kina mambo meΓ±gi hicho sijui huwa analala wapi hahahahahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye tractor mkuu hahahahahahahaHi kwanza Ni inaweza kuwa chai
Alaf kesho kutwa unakuta uzi wa ndege John kwamba ameagiza trekta zake kutoka Japan Sasa zimekwama... Anaomba msaada wa haraka........
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha kwa hiyo usiku unatoa ..asubuhi unarudishaHuwa inafahamika ikifika usiku.
Ccm wameshindwa hata kukununulia pasi??..Shati langu ninalolipenda kuliko yoteView attachment 1064910
Acha wivuKwani ninyi ni mapacha?[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahahaaa! Umeweka mmea na mbegu zake jirani na mbogamboga ili kupoteza maboya?Bangi zipo hapo ndaniView attachment 1064912
Huna pasi weye.Ukitaka kulivaa siku mbili kabla unalilalia chini ya godoro.Ikiwa shughuli ya kushtukiza unavaa na "mkoti" juu plus miwani myeusi kuondoa soo.Ubunifu!CCM milele yoteView attachment 1064914
Jf sio ya mchezo hahahaha..Hi kwanza Ni inaweza kuwa chai
Alaf kesho kutwa unakuta uzi wa ndege John kwamba ameagiza trekta zake kutoka Japan Sasa zimekwama... Anaomba msaada wa haraka........
Sent using Jamii Forums mobile app