Picha 1, 2 ,3 rangi ni pink na purple ( getto la msichana?) picha 4 & 5 rangi ingine ...
Hongera sana
.
Huna pasi weye.Ukitaka kulivaa siku mbili kabla unalilalia chini ya godoro.Ikiwa shughuli ya kushtukiza unavaa na "mkoti" juu plus miwani myeusi kuondoa soo.Ubunifu!
Acha wivu
Utawasumbua watoto wenye churaNakuja kuwa mwalimu kwenye ile shule yako![emoji16]
Hivi wewe unajua kila mtu humu JF?Nakuja kuwa mwalimu kwenye ile shule yako![emoji16]
Mwambie huyo, akiona pacha wangu anatongoza roho inamtoka, sasa hadi akiona ameongozana na mimi dada yake roho inamuuma khaaAcha wivu
Hahaha aje aseme kwanini anamuonea wivu kaka wa watu....Mwambie huyo, akiona pacha wangu anatongoza roho inamtoka, sasa hadi akiona ameongozana na mimi dada yake roho inamuuma khaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaaaa!![emoji2089][emoji2089][emoji2089]Utawasumbua watoto wenye chura
Pacha,lini nimetongoza ukaniona?Mwambie huyo, akiona pacha wangu anatongoza roho inamtoka, sasa hadi akiona ameongozana na mimi dada yake roho inamuuma khaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo salamu heshima kwakoNakutabiria mabadiliko makubwa na mafanikio baada ya miaka mi-3 ijayo.
Hata baadae ukikumbuka ghetto lako utakuwa unafurahi tu uliyoyapitia[emoji106]
Big up.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππππππππPacha,lini nimetongoza ukaniona?
Wewe Jorowe unapika uji? nimezoom nikaona ivyo!Kama walivyo vijana wengi na Mimi nimepanga Chumba mitaa fulani hapahapa mjini dar.nawakaribisha wote kunitembelea
Nimekuletea picha za chumba changu.chumba changu kimsingi kina vitu vingi kama vile stoo ila maisha ndo hivo yanaendelea View attachment 1064789View attachment 1064790View attachment 1064791View attachment 1064792View attachment 1064793
Mimi sijakuona ila Behaviourist huwa wanasema na mimi sioni ajabu mtoto wa kiume kutongozaPacha,lini nimetongoza ukaniona?
Haya futa kauli.Mimi sijakuona ila Behaviourist huwa wanasema na mimi sioni ajabu mtoto wa kiume kutongoza