Kwahiyo ulikuwa unajipigia tu Mkuu!Nilipokuwa kijana, jambo pekee nililopenda sana Urusi (nilikwenda mara mbili kwenye mikutano) ni kuwa kulikuwa na wasichana wazuri sana ambao walikuwa rahisi sana kuelewana hasa kama hujui kirusi na wao wanajua maneno machache ya kiingereza.