Picha: Halima Mdee anamaanisha nini kuweka picha hii?

Picha: Halima Mdee anamaanisha nini kuweka picha hii?

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Leo Mbunge asiyekuwa na chama ameweka picha ya kijana mmoja akiwa amezungukwa na kucheza na mbwa, lakini picha hiyo hajawekea neno lolote. Sasa wale wataalam wa kufungua code wanaweza saidia kwenye hili

mdee.JPG
 
Mbwa Covid-19 na mtu atakuwa Ndungai.



Kwioooo [emoji239][emoji239][emoji239]
 
1 vs Many.
Chama vs mihili (serikali+bunge+mahaka=3)

Mbwa wako 9 (3^2)

Akili kichwani
 
Hao wanasiasa si ndio wanatoaga ushauri vijana wajiajiri lakini wao wanashindwa kujiajiri wanang'ang'ana na ubunge wa kimagumashi.
 
Mbwa ndio rafiki wa kweli wa kudumu ,,hata umlaze njaa ahami nyumbani ,,ila usijalibu kumlaza paka njaa
 
Ni jeuri ya pesa,zile 10B alizohongwa na Jiwe ndiyo zinampa kibri
 
Back
Top Bottom