mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Anajidhalilisha tuLeo Mbunge asiyekuwa na chama ameweka picha ya kijana mmoja akiwa amezungukwa na kucheza na mbwa, lakini picha hiyo hajawekea neno lolote. Sasa wale wataalam wa kufungua code wanaweza saidia kwenye hili
Maisha yanaenda kasi sana,Leo Mbunge asiyekuwa na chama ameweka picha ya kijana mmoja akiwa amezungukwa na kucheza na mbwa, lakini picha hiyo hajawekea neno lolote. Sasa wale wataalam wa kufungua code wanaweza saidia kwenye hili
Ebu nionesheni mbowe na mnyika hapo maana kasema ndo mbwa anaowafuga.Leo Mbunge asiyekuwa na chama ameweka picha ya kijana mmoja akiwa amezungukwa na kucheza na mbwa, lakini picha hiyo hajawekea neno lolote. Sasa wale wataalam wa kufungua code wanaweza saidia kwenye hili