kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Wazazi waheshimiwe bwana.Utamuulizaje swali kama hilo eti una uhakika kama babake hakumwingilia mamake?? Plz ustaarabu kitu cha bure kabisa.
Baraka za watoto nazijua cz na ushahidi istoshe wengi wanapata mimba wanazitoa mwisho w cku ndio vilio.angalia cku hizi vijana wengi w kiume wanapenda kua n watoto kuliko kuoa
unajua maana ya uzinzi......?
Makamo haya niliyo nsijue maana ya uzinzi?
inawezekana haujui....
anyway....uzinzi ni kitendo cha wanandoa kwenda kufanya tendo la ndoa nje ya nchi yao....mfano...mme kwenda kufanya tendo la ndoa na mwanamke mwingine ambaye si mkewe....na mke hivyo hvyo.....
halafu kuna kitu kinaitwa uasherati.....ni kitendo cha watu ambao hawajafunga ndoa kufanya tendo la ndoa.....uasherati unafanywa na watu ambao wote hawajafunga ndoa......
hizo ndiyo tofauti ya uzinzi na uasherati.....
sasa kama mtu amezaa na mme wa mtu ama mke wa mtu hao wamefanya uzinzi.....lakini ikatokea kwamba mtu amezaa bila ndoa na aliyezaa nae hajafunga ndoa basi hao wamefanya uasherati.....sasa kwa kesi kama hii utasema hawa watu wamefanya uzinzi ama uasherati....? na je kwenye amri 10 za Mungu uasherati ipo?
Hapo ndipo napowashangaa binadam, kufurahia kuzaa nje ya ndoa, hata vitabu vya dini haviruhusu lkn kutwaa kuchekeleaa na kuona fahari, kua na mtoto wa haram
Hii teknolojiaa nakuambia itatutoaa kamasii wallahi tena,
nimechekaaaaa
hahaaaaaa
na je kwenye amri 10 za Mungu uasherati ipo?
inawezekana haujui....
anyway....uzinzi ni kitendo cha wanandoa kwenda kufanya tendo la ndoa nje ya nchi yao....mfano...mme kwenda kufanya tendo la ndoa na mwanamke mwingine ambaye si mkewe....na mke hivyo hvyo.....
halafu kuna kitu kinaitwa uasherati.....ni kitendo cha watu ambao hawajafunga ndoa kufanya tendo la ndoa.....uasherati unafanywa na watu ambao wote hawajafunga ndoa......
hizo ndiyo tofauti ya uzinzi na uasherati.....
sasa kama mtu amezaa na mme wa mtu ama mke wa mtu hao wamefanya uzinzi.....lakini ikatokea kwamba mtu amezaa bila ndoa na aliyezaa nae hajafunga ndoa basi hao wamefanya uasherati.....sasa kwa kesi kama hii utasema hawa watu wamefanya uzinzi ama uasherati....? na je kwenye amri 10 za Mungu uasherati ipo?
natamani kujua kilichokuchekesha.....
hapa ndo nimecheka
ulivyomuuliz?
Sister what are you trying to say? Am waitiiing dear...
ooh kumbe ni kipengele hicho.....sawa mamy...
kama utakuwa umenifwatilia tangia mwanzo nahisi utakuwa umenielewa.......au kuna mahali unahitaji ufafanuzi....
Mi labda nimeelewa vibaya.Kweli kabisa katika amri kumi uasherati haipo,.
inawezekana haujui....
anyway....uzinzi ni kitendo cha wanandoa kwenda kufanya tendo la ndoa nje ya nchi yao....mfano...mme kwenda kufanya tendo la ndoa na mwanamke mwingine ambaye si mkewe....na mke hivyo hvyo.....
halafu kuna kitu kinaitwa uasherati.....ni kitendo cha watu ambao hawajafunga ndoa kufanya tendo la ndoa.....uasherati unafanywa na watu ambao wote hawajafunga ndoa......
hizo ndiyo tofauti ya uzinzi na uasherati.....
sasa kama mtu amezaa na mme wa mtu ama mke wa mtu hao wamefanya uzinzi.....lakini ikatokea kwamba mtu amezaa bila ndoa na aliyezaa nae hajafunga ndoa basi hao wamefanya uasherati.....sasa kwa kesi kama hii utasema hawa watu wamefanya uzinzi ama uasherati....? na je kwenye amri 10 za Mungu uasherati ipo?
Mi labda nimeelewa vibaya.Kweli kabisa katika amri kumi uasherati haipo,.
rubii veterani? au sielewi maana ya veterani uliyoitumia wewe?hahah..nimeipenda hiyo line up....maveterani tupu...
Hukuzaliwa kwenye ndoa?? Una hakika babaako hakumuingilia kwa nguvu mamaako ( kubaka)?? Unaelewa maana ya ndoa wewe?