Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Unajua hata usizini watu husema amri ya 6 wakati ni amri ya 7.
Hizi biblia zimetofautiana?au wasomaji ndo tunatofautiana uelewa.

Watu wanalishwa vya katekisimu halafu bila kujua wanasema ni biblia ndio imesema!! Hata shigongo naye yuko hivyo hivyo kwenye magazeti yake, eti… "Mzee mwenye nyumba afumwa akivunja amri ya sita na mpangaji wake"!!
Yaani wanavyoongea kwa mbwembwe utadhani wanataka kulazimisga watu waone kuwa katekisimu ndio zaidi ya biblia.
 
kumbe....nilikuwa silijui hili.....

Ninyi si mnakaririshwa kutoka kwenye katekisimu ya kanisa! Hata magazeti ya shigongo huwa yanaripotigi kuwa "..fulani afumwa akivunja amri ya sita" akimaanisha uzinzi wakati sio kweli.
Soma kutoka 20:1----.
 
Back
Top Bottom