Ina maana hata mzee mwenye haki miliki?
Ha ha ha naona imemnyea
kvp?!!
Hata mzeemwenye nyumba kodi yake haikuridhishi?
haaa yule ndo nnamuongelea hapa
yuko full ka ikulu sipigi kazi za njema
Unajua hata usizini watu husema amri ya 6 wakati ni amri ya 7.
Hizi biblia zimetofautiana?au wasomaji ndo tunatofautiana uelewa.
Basi sawa, ila usiombe ukute ndio mwenyewe.
hahhhsaaasssa
Naona umefurahi.
sana tuu
Haya we mwanamke.
sawa mlume ndago
Hahahaha!! Hilo neno nililisikia zamani sana hadi nimesahau maana yake.
wahuni km sie ndo tunalitumia mpk leo
sana tuMmmm!!na ww tena?
sana tu
Amri ya tano inasema waheshimu baba yako na mama yako, hiyo biblia inayosema amri ya tano usiue imechakachuliwa.
Sawa, sasa tuambie wewe ni muasherati au mzinzi?
mie ni mdhambi.....
kumbe....nilikuwa silijui hili.....