Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Hahahaaa ujue ulinichekesha maana kuna siku nilibahatisha nikakuta in my shoes iko hewani akawa anawaasa team zake eti wasimfuatilie tena diamond maana yeye amesha move on. ..
Ndio kumove on gani huko huku bado analia?
 
Ahahahahah, leo wanampondaje zari? Eti wanamfananisha na hamisa eti mwenzake kafanya siri, hawajui zari ni super staa huyo mchina ata angeweka tumbo lake kwenye mabango tusingeshtuka, batu na nyota zao banya

Hahahaaa aisee binamu umenikumbusha nina kaka yangu jamani anampenda Hamisa balaa.Sasa sijui hizi taarifa akizipata atakua katika hali gani!
Mwenyewe alikua kamfollow insta anamsifia balaa hata nikimuambia ni edit na filters zinafanya kazi hasikii.
 
Duuuhh hahahah!!
We leo umejua kunichekesha aiseee
 
Naomba leo nilijibu hili kwa mara ya kwanza na ya mwisho....
sidhan kama kuna mwanamke ambae anatamani kuzaa bila kuolewa
mi kama mie nmezaa kabla ya kufunga ndoa SABABU NI...tofauti ya dini zetu mie na baba mtoto wangu maza akatia ngumu so nifanyeje nimuache?kisa dini???BIG NO i love him i love him i love him sana nkaamua kubeba mimba kabisa na sahv bi mkubwa kaelewa somo inshaalah tuombe uzima mtapewa mwaliko....whatever name mwanangu aitwe awe wa pembeni ya ndoa awe wa katikati to hell I JUST LOVE MY SON MNOOOOO
mi nmezaa before ndoa no one ll ask y sijaolewa sasa we olewa afu usizae ujionee maswali yenye SECTION A, B, C, D na E...
CC warumi, geniveros na wengine waliozaa kabla ya ndoa kwa sababu zao maalum
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndipo napowashangaa binadam, kufurahia kuzaa nje ya ndoa, hata vitabu vya dini haviruhusu lkn kutwaa kuchekeleaa na kuona fahari, kua na mtoto wa haram Hii teknolojiaa nakuambia itatutoaa kamasii wallahi tena,
we umezaliwa ndani au nje ya ndoa??
 
Hahahaaa aisee binamu umenikumbusha nina kaka yangu jamani anampenda Hamisa balaa.Sasa sijui hizi taarifa akizipata atakua katika hali gani!
Mwenyewe alikua kamfollow insta anamsifia balaa hata nikimuambia ni edit na filters zinafanya kazi hasikii.

Khaa!! Huyo kaka ako nae katisha, mwambie ndio hvyo wajanja washafanya yao
 
Hahahaaa ujue ulinichekesha maana kuna siku nilibahatisha nikakuta in my shoes iko hewani akawa anawaasa team zake eti wasimfuatilie tena diamond maana yeye amesha move on. ..
Ndio kumove on gani huko huku bado analia?

Ndio maana team pwanya road wanajiashua wapo kwenye movement ya kutomwongelea mtu mwingine? He he heee...wasipofatilia habari za Zarinah zitawafata ndotoni...
 
Nilisemaga kuhusu hili, ila akina nifah na geniveros wakanichamba eti kuzaa nje ya ndoa ndio habar ya mujini, wakati wanazaa watoto haramu, wanawapa shida tu viumbe visivyokuwa na hatia
shida zinatoka wapi?walozaliwa ndani ya ndoa hawana shida???pyeeee kama hamtaki kuzaa fugeni mbwa msituchoshe...
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaa Evelyn Salt naona umekuja na mihasira kama mbogo aliyejeruhiwa.Hii ni mitazamo tu mama watu hatufanani ila nakuombea kheri inshaallah usinisahau na mie katika mualiko.
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana team pwanya road wanajiashua wapo kwenye movement ya kutomwongelea mtu mwingine? He he heee...wasipofatilia habari za Zarinah zitawafata ndotoni...

Hahahaaa chezea boss alitoa Le Tamkooz wewe? Ila Zari ni ngumu kutokufuatilia habari zake aisee.
 
angekua mwingine hapo tumbo lingetengeza 12 packs na michirizi juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…