Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Nifa kama ww ni mwanamke naomba huu mdomo na maneno yako yawe ya jf tu(kufurahisha genge na kijiumaarufu) ila kama uko hivyo in real life I see we ni ile design ya wadada wa vigodoro.. yaan kuna vile vidada flan hivi vya uswazi vilivyobahatika kusogeza madarasa(from the way u write unaonekana hujaishia la 7 D) maana waandishi wa type yako ni kina dougie master(thou yeye nahisi hamna shule) wale kina ashaboko, ashangedere yaan kigodoro style... maana unaropoka mpaka unapoteza haiba ya kike #kisrani
My attitude is a result of your actions! So, if you don't like my attitude blame yourself!
Hiyo ndiyo falsafa yangu.Sasa wewe ndugu yangu santa diaba umetoka huko ulikotoka na kunivamia bila kujua malumbano yameanzia wapi na kuanza kunipa tuhuma na kunitafsiri kwa jinsi ambayo sivyo nilivyo kabisa.
Mimi kama mimi nifah hua sipendi ugomvi na mtu ila ni mwepesi kukasirika haraka na hata hivyo hasira zangu hua hazidumu sababu mimi sina kiburi.
Na usichokijua ni kua mimi sio mswahili kabisa! Hayo mambo yako sijui ya vigodoro nayasikia kwa watu tu.
Huyo ndiye nifah. ...nadhani utakua umenielewa.
Last edited by a moderator: