Picha: Handsome boy kuliko wote jamvin

Wa

Wanakwambia japan yalitoka mawili tu jingine alivaa marehemu akira san alifariki kwenye mabomu ya nyuklia kipindi hiko
Ndo limebaki hilo moja😁
Japan wana mtoto wao Jasiri alimbeba mdogo wake mgongoni kwenye mazishi alikua na hili shati ni balaa enzi USA katimua bomb la nyuklia na huyu Mzala Maghayo aliambulia moja kutoka kwa Mjomba ake na akapandia ndege hilo hilo bila hata show money...
 
Wabongo ukiwa na fursa kidogo wanakuchukia mbaya bila sababu ila ukiwa na shida shida hivi ndio wanajifanya marafiki ule wa kibafiki tu..
Yaani ufanikiwe halafu ukayafiche mafanikio yako uvunguni mwa kitanda? Sasa struggles zote zilikua za kazi gani? Huu si ni ufala? Yaani niwashe taa halafu ikiwaka niifunike na ndoo na magunia?
 
Daaaa hii kali ya Mgerasi ilinipita wallah!
Hivi una tatizo gani ewe Mgalatia wa Mongolia yaani hapo huna baya kama Mkaldayo aliye hamia Scandinavia!
😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…