warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
JINA lake kamili anajulikana kama Happiness
Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss
Tanzania Mwaka 2001.Happiness Magese (35),
alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo
nchini Afrika Kusini chini ya Kampuni ya Ice
Model Management na alikaa huko kwa miaka
nane kabla hajahamia katika Jiji la New York,
nchini Marekani ambapo amesaini mkataba na
Kampuni ya Ford Models mpaka sasa hivi. Ana
miaka minne na tayari ameshaongezewa miaka
miwili zaidi ya fani hiyo ya uanamitindo duniani.
Happiness Magese anasihi wanawake kucheki
afya zao mara kwa mara wasije wakakutwa na
tatizo kama lake la ugumba ambalo limeharibu
na kibofu chake na kupelekea hata kushindwa
kukojoa kwa njia ya kawaida na badala yake
anatumia mipira, ni vema kuchek afya mara kwa
mara.